• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
BAHI DISTRICT COUNCIL
BAHI DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bahi

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango na Takwimu
      • Fedha na Biashara
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kazi na Moto
      • Afya
      • Maji
      • Kilimo na Umwagiliaji
      • Ardhi na Maliasili
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • Tehama na Uhusiano
      • Sheria
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Baraza la Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Utawala na Mpiango
      • Ujenzi,Uchumi na Mazingira
      • Elimu, Afya na Maji
      • Kudhibiti UKIMWI
      • Maadili ya Madiwani
    • Ratiba
      • Vikao vya Kisheria
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi iliyokubaliwa
    • Miradi Inayoendelea
      • TASAF
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Kazi
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbali Mbali
    • Miongozo Mbali Mbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video Mbali Mbali
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

Kupata Leseni ya Biashara

Ili kupata leseni ya biashara inayotolewa na Halmshauri ya Wilaya ya Bahi unatakiwa kufuata hatua zifuatazo:-

Mfanyabiashara asiye na Namba ya Utambulisho wa Mlipa Kodi (TIN)

  1. Fika ofisi ya Biashara ya Halmashauri ya Wilaya ya Bahi ili upatiwe Fomu maalum  kwa ajili ya kujaza taarifa zako za biashara
  2. Nenda Ofisi ya Mtendaji wa Kijiji (VEO) katika eneo unalotarajia kufungua biashara yako ili akusainie na kukugongea mhuri
  3. Kwa mfanyabiashara wa chakula na vinywaji (Vileo) lazima biashara yako ihakikiwe na kuthibitishwa na Afisa Afya wa eneo husika.
  4. Kwa Mfanyabiashara wa Dula la Dawa Baridi ni lazima upate kibali kutoka Baraza la Famasia la Wilaya (Business Pharmacy Permit) Bahi
  5. Fika Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Dodoma Mjini ili biashara yako isajiliwe na upatiwe Namba ya Utambulisho wa Mlipa Kodi (TIN).
  6. Baada ya kupatiwa TIN, utakadiliwa kiasi cha Kodi utakachopaswa kulipa kulinga na biashara yako ili ukalipie Benki na baada ya kukamilisha malipo ya Benki utapatiwa Cheti cha Utakaso cha Mlipakodi (Tax Clearance Certificate).
  7. Fika Ofisi ya Biashara Wilaya ya Bahi ukiwa na Cheti cha Utakaso cha Mlipakodi halisi (Original) pamoja na Nakala (Photocopy) ya Cheti cha Mlipa Kodi yaani TIN ili ukadiliwe na kupatiwa Ankra (Bili) ya Malipo ambapo utakwenda kulipia  Benki ya NMB kupitia Akaunti Na. 51710003392 Jina la Akaunti ni Bahi DC Own Source.
  8. Baada ya malipo Na. vii kufanyika, rudi Ofisi ya Biashara ukiwa na Stakabadhi yako ya malipo ya Benki (Pay in Slip) ambapo utapatiwa leseni ya biashara yako.

Mfanyabiashara mwenye Namba ya Utambulisho wa Mlipa Kodi (TIN)

  1. Fika ofisi ya Biashara ya Halmashauri ya Wilaya ya Bahi ili upatiwe Fomu maalum  kwa ajili ya kujaza taarifa zako za biashara
  2. Nenda Ofisi ya Mtendaji wa Kijiji (VEO) katika eneo unalotarajia kufungua biashara yako ili akusainie na kukugongea mhuri
  3. Kwa mfanyabiashara wa chakula na vinywaji (Vileo) lazima biashara yako ihakikiwe na kuthibitishwa na Afisa Afya wa eneo husika.
  4. Kwa Mfanyabiashara wa Dula la Dawa Baridi ni lazima upate kibali kutoka Baraza la Famasia la Wilaya (Business Pharmacy Permit) Bahi
  5. Fika Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) utakadiliwa kiasi cha Kodi utakachopaswa kulipa kulinga na biashara yako ili ukalipie Benki na baada ya kukamilisha malipo ya Benki utapatiwa Cheti cha Utakaso cha Mlipakodi (Tax Clearance Certificate).
  6. Fika Ofisi ya Biashara Wilaya ya Bahi ukiwa na Cheti cha Utakaso cha Mlipakodi halisi (Original) pamoja na Nakala (Photocopy) ya Cheti cha Mlipa Kodi yaani TIN ili ukadiliwe na kupatiwa Ankra (Bili) ya Malipo ambapo utakwenda kulipia  Benki ya NMB kupitia Akaunti Na. 51710003392 Jina la Akaunti ni Bahi DC Own Source.
  7. Baada ya malipo Na. vii kufanyika, rudi Ofisi ya Biashara ukiwa na Stakabadhi yako ya malipo ya Benki (Pay in Slip) ambapo utapatiwa leseni ya biashara yako.

KUMBUKA KUWA:

Malipo ya Kodi ya Mapato yanayofanyika kupitia TRA ni kuanzia Januari 01 hadi Desemba 31 kila mwaka.

 Wakati malipo Leseni ya Biashara ni kuanzia Julai 01 hadi Juni 30 kila mwaka.


Matangazo

  • Tangazo la Kikao Maalum cha Baraza la Madiwani Kujadili Mpango na Bajeti ya Halmashauri ya Wilaya ya Bahi kwa mwaka wa fedha 2021/2022 February 10, 2021
  • Tangazo la Kikao cha Baraza la Madiwani January 27, 2021
  • Tangazo la Orodha ya Wanafunzi Waliochaguliwa Kujiunga na Kidato cha Kwanza mwaka 2021 Wilaya ya Bahi December 18, 2020
  • Tangazo la Kuitwa Kwenye Usaili Nafasi za Kazi za Mtendaji wa Kijiji Daraja la III November 02, 2020
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • Mabati 780 Yanunuliwa, Mfuko wa Jimbo

    February 12, 2021
  • Baraza la Madiwani Lapitisha Bajeti ya Shilingi Bilioni 25

    February 12, 2021
  • Watakaonunua Ardhi, Wenye Leseni za Madini Ujenzi Kuchangia Elimu

    January 29, 2021
  • Mfuko wa Jimbo Kusaidia Ujenzi wa Madarasa, Zahanati

    January 28, 2021
  • Tazama Zote

Video

RC MAHENGE AZITAKA HALMASHAURI ZA JIJI LA DODOMA KUAINISHA FURSA ZA UWEKEZAJI.
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Tazama na Kudownload Orodha ya Walioitwa Kwenye Interview kwa Nafasi za Watendaji wa Vijiji Bahi
  • Matokeo Kidato cha Nne 2017
  • Tazama matokeo ya Darasa la saba 2019 ya shule zote za Bahi
  • Tazama na Kudownload vigezo vya Nafasi za Kazi kwa Watendaji wa Vijiji
  • Matokeo ya QT
  • 1: Matokeo ya Upimaji wa Kitaifa Darasa la Nne (SFNA) 2017
  • 2: Matokeo ya Upimaji wa Kitaifa Darasa la Nne (SFNA) 2017
  • Vendor Form
  • 2: Matokeo ya Upimaji wa Kitaifa Kidato cha Pili (FTNA) 2017

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Utumishi
  • OR-TAMISEMI
  • Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
  • Tovuti ya Mkoa wa Dodoma
  • Tovuti ya Ikulu

Watembeleaji wa Nje

world map hits counter

Watembeleaji

Counter Widgets

Ramani

Wasiliana Nasi

    Halmashauri ya Wilaya ya Bahi

    Anuani: S.L.P 2993 DODOMA

    Simu: +255 26 2961400

    Simu: +255 766 643 266

    Barua Pepe: ded@bahidc.go.tz

Mawasiliano Zaidi

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Bahi. Haki Zote Zimehifadhiwa