• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
BAHI DISTRICT COUNCIL
BAHI DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bahi

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango na Takwimu
      • Fedha na Biashara
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kazi na Moto
      • Afya
      • Maji
      • Kilimo na Umwagiliaji
      • Ardhi na Maliasili
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • Teknolojia na Mawasiliano Serikalini
      • Sheria
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Baraza la Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Utawala na Mpiango
      • Ujenzi,Uchumi na Mazingira
      • Elimu, Afya na Maji
      • Kudhibiti UKIMWI
      • Maadili ya Madiwani
    • Ratiba
      • Vikao vya Kisheria
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi iliyokubaliwa
    • Miradi Inayoendelea
      • TASAF
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Kazi
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbali Mbali
    • Miongozo Mbali Mbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video Mbali Mbali
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

Ardhi na Maliasili

Dira, Mwelekeo na Huduma zitolewazo na Idara ya Ardhi na Maliasili katika Halmashuri ya Wilaya ya Bahi:

DIRA: Kuwa idara inayotoa huduma  nzuri na Bora za  Ardhi kwa kwa kufuata Sheria Kanuni na Taratibu na zenye matokeo.

MWELEKEO: Katika kutoa huduma Idara itahakikisha kuwa huduma zote zinatolewa kwa usawa, bila aina yote ya ubaguzi wala upendeleo na zitakuwa shirikishi.

HUDUMA ZITOLEWAZO NA IDARA

Huduma zinazotolewa na Idara ni hizi zifuatazo:

SEKTA YA ARDHI

  • Kupanga miji na vijiji kwa kuzingatia Sheria za Mipango Miji na Matumizi Bora ya Ardhi za mwaka 2007.
  • Kupima viwanja na kuchora ramani kwa mujibu wa sheria ya upimaji na miongozo yake.
  • Kugawa ardhi kupitia Kamati ya Ugawaji Ardhi
  • Kuandaa nyaraka mbalimbali za umiliki wa ardhi.
  • Kusimamia uendelezaji wa ardhi.
  • Kutunza nyaraka zinazohusiana na ardhi.
  • Kukusanya kodi za ardhi na tozo nyingine
  • Kufanya uthamini wa ardhi kwa matumizi mbalimbali.
  • Kushauri juu ya utatuzi wa migogoro ya ardhi.
  • Kutoa elimu kwa uma juu ya sheria za Ardhi za mwaka 1999 na miongozo mbalimbali ya ardhi.

Sekta ya Maliasili na Mazingira

  • Kusimamia maliasili kwa mujibu wa sheria zilizopo.
  • Kusimamia matumizi endelevu ya maliasili ili kulinda mazingira.
  • Kuelimisha na kuhamasisha jamii juu ya matumizi endelevu ya maliasili.
  • Kusimamia masuala ya mazingira kwa mujibu wa sheria ya Mazingira ya mwaka 2004
  • Kuelimisha uma juu ya masuala ya Mazingira.


Shughuli zilizotekelezwa kwa mwaka 2016/2017:-

(a) Ardhi

Wilaya imeendelea kutekeleza shughuli mbalimbali zinazohusu maendeleo ya ardhi, ikiwa ni pamoja na uendelezaji wa Makao Makuu ya Wilaya, upimaji wa mipaka ya vijiji na upangaji wa matumizi bora ya ardhi.  Aidha, katika kuhakikisha kuwa Makao Makuu ya Wilaya yanaendelezwa, kwa mwaka 2015/2016 jumla ya viwanja 420 vilipimwa na kumilikishwa kwa waombaji mbalimbali. Mchoro wa viwanja 405 umeidhinishwa na viwanja vitapimwa katika kipindi cha mwaka wa fedha 2016/2017 ambapo wilaya imepanga kupima viwanja 500. Hadi sasa upimaji wa awali wa viwanja 74 umefanyika.

 (b)  Misitu (isiyohifadhiwa)

Kwa sasa Wilaya inaendelea na mpango wa kutambua na kupima maeneo ya misitu isiyohifadhiwa na Serikali Kuu ambayo yako chini ya Serikali za Vijiji vyote 59. Mkakati wa Wilaya ni kuhamasisha na kusimamia wananchi watenge hifadhi za misitu ya vijiji. Hadi sasa jumla ya vijiji 18 vimetenga maeneo kwa ajili ya hifadhi ya misitu.

 (c ) Mazingira

Wilaya inaendelea na uoteshaji wa miche ya miti na kuisambaza vijijini na mashuleni hivyo kuweza kupandwa katika maeneo husika. Kwa kipindi cha 2015/2016, Wilaya imeotesha jumla ya miti 427,000 na kusambazwa katika maeneo mbalimbali ya Wilaya.

Changamoto kubwa tuliyonayo katika Sekta hii ni uwepo wa migogoro ya mipaka ya vijiji. Mgogoro mkubwa ni kati ya kijiji cha Mphangwe (Bahi) na kijiji cha Wiliko (Chamwino). Juhudi za kusuluhisha mgogoro huu zimefanyika bila mafanikio, na suala hilo Halmashauri imeiomba Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dodoma kusaidie kusuluhisha mgogoro huu.

Matangazo

  • TANGAZO LA AJIRA ZA MUDA TUME HURU YA TAIFA YA UCHAGUZI. July 02, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE MAFUNZO May 07, 2025
  • KUITWA KWENYE USAILI May 02, 2025
  • Mikopo ya Hazina Kwa Watumishi wa Umma October 27, 2024
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • MKURUGENZI WA MRADI WA "TUINUKE PAMOJA" CHINI AGHAKAN FOUNDATION WAKISHIRIKIANA NA TGNP ATAMBULISHA MRADI HUO KATIKA MANEJINENTI YA HALMASHAURI YA WILAYA YA BAHI.

    July 03, 2025
  • UHAMISHO NA UTEUZI KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA BAHI

    July 23, 2025
  • NOTISI YA KUVUNJWA KWA MABARAZA YA MADIWANI KATIKA MAMLAKA ZA WILAYA NA MIJI YATOLEWA NA MHE.MCHENGERWA

    June 15, 2025
  • HALMASHAURI YA WILAYA YA BAHI YATWAA TUZO YA UBINGWA

    June 15, 2025
  • Tazama Zote

Video

Jinsi ya kuomba uhamisho kwenye mfumo wa Utumishi
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Tazama na Kudownload Orodha ya Walioitwa Kwenye Interview kwa Nafasi za Watendaji wa Vijiji Bahi
  • Matokeo Kidato cha Nne 2017
  • Tazama matokeo ya Darasa la saba 2019 ya shule zote za Bahi
  • Tazama na Kudownload vigezo vya Nafasi za Kazi kwa Watendaji wa Vijiji
  • Matokeo ya QT
  • 1: Matokeo ya Upimaji wa Kitaifa Darasa la Nne (SFNA) 2017
  • 2: Matokeo ya Upimaji wa Kitaifa Darasa la Nne (SFNA) 2017
  • Vendor Form
  • 2: Matokeo ya Upimaji wa Kitaifa Kidato cha Pili (FTNA) 2017

Viunganishi Linganifu

  • NECTA
  • Mfumo wa uhamisho kwa watumishi,Mikopo na Kupata Salary Slips
  • Utumishi
  • OR-TAMISEMI
  • Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
  • Tovuti ya Mkoa wa Dodoma

Watembeleaji wa Nje

world map hits counter

Watembeleaji

Counter Widgets

Ramani

Wasiliana Nasi

    Kitengo cha Ugavi na Manunuzi

    Anuani: S.L.P 2993 DODOMA

    Simu: +255 762077589

    Simu: +255 762077589

    Barua Pepe: ded@bahidc.go.tz

Mawasiliano Zaidi

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Bahi. Haki Zote Zimehifadhiwa