Wakala wa Usajili ufilisi na udhamini umezindua Mpango Mkakati wa usajili wa kisasa wa watoto chini ya Miaka Mitano leo tarehe 11/03/2019. Mpango unalenga kuongeza idadi kwa kiasi Kikubwa cha usajili na kutoa vyeti vya kuzaliwa kwa watoto chini ya Miaka Mitano sambamba na kuoresha mfumo wa usajili Tanzania Bara. Utekelezaji wa Mfumo huu utafanyika kwa mifumo ya afya na serikali za mitaa iliyopo. Kwa muendelezo wa habari zaidi tembelea uzi huu http://www.rita.go.tz/gallery_photo.php?album=208
Halmashauri ya Wilaya ya Bahi
Anuani: S.L.P 2993 DODOMA
Simu: +255 687748878
Simu: +255 687748878
Barua Pepe: ded@bahidc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Bahi. Haki Zote Zimehifadhiwa