Wizara ya Afya imeuarifu umma kuwa kuna wagonjwa 29 wamethibitika kuwa na ugonjwa wa Corona (Covid 19) ambapo kati yao 26 wapo Dar es Salaam, wawili wapo mkoani Mwanza na mmoja yupo Kilimanjaro. Hivyo, ongezeko hilo limefanya idadi ya wagonjwa nchini Tanzania kufikia 88 ilhali mpaka leo (Jumatano tarehe 15 Aprili 2020) waliopona ni 11 na vifo vinne (4).
Aidha, Taarifa kwa Umma iliyotolewa na Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Wazee na Watoto inaeleza zaidi;
Halmashauri ya Wilaya ya Bahi
Anuani: S.L.P 2993 DODOMA
Simu: +255 687748878
Simu: +255 687748878
Barua Pepe: ded@bahidc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Bahi. Haki Zote Zimehifadhiwa