Imechapishwa: November 12th, 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Joseph Magufuli (pichani), Ijumaa tarehe 13 Novemba 2020, atafungua rasmi Bunge la 12 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na kulihutubia Ta...
Imechapishwa: November 12th, 2020
Wabunge wamemchagua Mhe. Dkt. Tulia Ackson kuwa Naibu Spika wa Bunge la 12 la Tanzania.
Akitangaza matokeo hayo mara baada ya uchaguzi kufanyika, Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai alisema kuwa Dkt. Tu...
Imechapishwa: November 12th, 2020
Spika wa Bunge la 12 la Tanzania, Job Yustino Ndugai amesema wabunge wamemthibitisha Mbunge wa Jimbo la Ruangwa mkoani Lindi, Kassim Majaliwa Majaliwa kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzan...