• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
BAHI DISTRICT COUNCIL
BAHI DISTRICT COUNCIL

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bahi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango na Takwimu
      • Fedha na Biashara
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kazi na Moto
      • Afya
      • Maji
      • Kilimo na Umwagiliaji
      • Ardhi na Maliasili
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • Tehama na Uhusiano
      • Sheria
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Baraza la Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Ujenzi,Uchumi na Mazingira
      • Elimu, Afya na Maji
      • Kudhibiti UKIMWI
      • Maadili ya Madiwani
    • Ratiba
      • Vikao vya Kisheria
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi iliyokubaliwa
    • Miradi Inayoendelea
      • TASAF
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Kazi
    • Ripoti Mbali Mbali
    • Fomu Mbali Mbali
    • Miongozo Mbali Mbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video Mbali Mbali
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

Historia

HISTORIA:

SURA YA WILAYA

Wilaya ya Bahi ni mojawapo kati ya Wilaya saba za Mkoa wa Dodoma. Wilaya hii ilianzishwa rasmi mwaka 2007 na ina jumla ya kilometa za mraba 5,948 ikiwa na Tarafa 4, Kata 22, Vijiji 59 na vitongoji 553. Kwa mujibu wa sensa ya watu na makazi ya mwaka 2012, Wilaya ina watu 221,645 kati yao wanaume ni 105,975 (47.8%) na wanawake ni 115,670 (52.2 %).

UCHUMI WA WILAYA

Uchumi wa Wilaya unatokana na shughuli za kilimo na ufugaji. Mazao ya chakula ni mtama, uwele, viazi vitamu, mihogo, mahindi, mpunga, kunde, mbaazi, na njugu. Mazao ya biashara ni pamoja na ufuta, alizeti na karanga. Aidha, mifugo inayofugwa ni ng’ombe, mbuzi, kondoo, punda, nguruwe, kuku, bata na kanga. 

Makadirio ya pato la mkazi kwa mwaka 2007 yalikuwa 206,000.00, kwa sasa inakadiriwa pato hili kuongezeka hadi kufikia 427,489 sawa na 207.5% ya ongezeko.

HALI YA KISIASA

Hali ya kisiasa ni shwari ambapo Wilaya ina vyama saba vya siasa vinavyofanyakazi ambavyo ni CCM, CUF, SAU, CHADEMA, TLP, NCCR- Mageuzi na ACT –Wazalendo. Aidha, Wilaya ina Madiwani 22 wa kuchaguliwa, 6 viti maalum na Mbunge 1 wa kuchaguliwa; Hali ya ulinzi na usalama ni nzuri na vyombo vyote vya dola kwa pamoja vinatimiza wajibu wake.

Matangazo

  • Tangazo la Siku ya Mazoezi Kitaifa Aprili, 2018 April 12, 2018
  • Tangazo la Zabuni ya Ujenzi wa Mradi wa Usambazaji Maji Shule ya Sekondari Kigwe April 06, 2018
  • Tangazo la Nafasi za Kazi za Watendaji wa Vijiji Wilaya ya Bahi March 24, 2018
  • Mitandao ya Kijamii ya Halmashauri ya Wilaya ya Bahi March 07, 2018
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • Bahi Yapata Tshs 240 Milioni Mradi wa Maji Kigwe Sekondari

    March 29, 2018
  • MaMEK, Walimu Wakuu waagizwa kusimamia walimu

    March 27, 2018
  • DC Bahi Aongoza Kampeni ya 'Kijanisha' Dodoma

    February 08, 2018
  • Matokeo ya Kidato cha Nne 2017 na Matokeo ya Mtihani wa Maarifa (QT)

    January 30, 2018
  • Tazama Zote

Video

RC MAHENGE AZITAKA WILAYA KUAINISHA FURSA ZA UWEKEZAJI DODOMA
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Vendor Form
  • Uzinduzi wa Mifumo ya PLANREP na FFARS
  • Tazama na Kudownload vigezo vya Nafasi za Kazi kwa Watendaji wa Vijiji
  • 1: Matokeo ya Upimaji wa Kitaifa Kidato cha Pili (FTNA) 2017
  • Matokeo Kidato cha Nne 2017
  • 2: Matokeo ya Upimaji wa Kitaifa Kidato cha Pili (FTNA) 2017
  • Matokeo ya QT
  • 1: Matokeo ya Upimaji wa Kitaifa Darasa la Nne (SFNA) 2017
  • 2: Matokeo ya Upimaji wa Kitaifa Darasa la Nne (SFNA) 2017

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Utumishi
  • OR-TAMISEMI
  • Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
  • Tovuti ya Mkoa wa Dodoma
  • Tovuti ya Ikulu

Watembeleaji wa Nje

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    Halmashauri ya Wilaya ya Bahi

    Anuani: S.L.P 2993 DODOMA

    Telephone: +255 26 2961400

    Simu: +255 767 545 154

    Barua Pepe: ded@bahidc.go.tz

Mawasiliano Zaidi

   

Watembeleaji

Counter Widgets

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Bahi. All rights reserved.