• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
BAHI DISTRICT COUNCIL
BAHI DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bahi

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango na Takwimu
      • Fedha na Biashara
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kazi na Moto
      • Afya
      • Maji
      • Kilimo na Umwagiliaji
      • Ardhi na Maliasili
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • Tehama na Uhusiano
      • Sheria
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Baraza la Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Utawala na Mpiango
      • Ujenzi,Uchumi na Mazingira
      • Elimu, Afya na Maji
      • Kudhibiti UKIMWI
      • Maadili ya Madiwani
    • Ratiba
      • Vikao vya Kisheria
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi iliyokubaliwa
    • Miradi Inayoendelea
      • TASAF
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Kazi
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbali Mbali
    • Miongozo Mbali Mbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video Mbali Mbali
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

Elimu Sekondari

Wilaya inazo shule 20 za Sekondari zenye jumla ya wanafunzi 3,403 kati yao wasichana ni 1,637 na wavulana ni 1,766.  Idadi ya walimu waliopo ni 356 (wanaume 237 na wanawake 119) kati ya mahitaji ya walimu 394.  Hivyo Wilaya ina upungufu wa walimu 38. Walimu wa sayansi waliopo ni 70, mahitaji ni walimu 160, upungufu ni walimu 90.

Aidha, jumla ya wanafunzi 1,651 (wav. 753, was. 898) walifaulu darasa la saba na kuchaguliwa kujiunga kidato cha kwanza mwezi Januari 2017. 

Katika kuboresha miundombinu mashuleni kwa kipindi cha 2015/2016 jumla ya nyumba 3 (1kwa 6) vyoo 8 na vyumba 4 vya madarasa vimejengwa, katika shule za Msisi, Chonama na Magaga. Nyumba za walimu katika shule za Msisi na Magaga zimekamilika na Chonama ujenzi unaendelea. Pamoja na shule hizo hadi sasa wilaya inazo shule 4 zenye maabara ambazo ni Chikola, Chibelela, Mundemu na Bahi.

Ujenzi wa maabara katika shule za Sekondari uko katika hatua mbalimbali ambapo maabara 5 zimekamilika, 14 hatua ya umaliziaji, 11 hatua ya upauaji, 2 zipo katika hatua ya lenta, 6 hatua ya ukuta, 10 hatua ya msingi, na 12 bado hazijaanza.

 Aidha, Wilaya imeanzisha klabu za wasichana katika shule zote 20 (ishirini) za Sekondari ambazo zimesaidia kupunguza utoro mashuleni na mimba.

Matangazo

  • Tangazo la Orodha ya Wanafunzi Waliochaguliwa Kujiunga na Kidato cha Kwanza mwaka 2021 Wilaya ya Bahi December 18, 2020
  • Tangazo la Kuitwa Kwenye Usaili Nafasi za Kazi za Mtendaji wa Kijiji Daraja la III November 02, 2020
  • Tangazo la Walioteuliwa kuwa Wasimamizi, Wasimamizi Wasaidizi na Makarani Waongozaji wa Vituo vya Kupigia Kura Uchaguzi Mkuu 2020 October 17, 2020
  • Tangazo la Kuitwa Kwenye Usaili Kazi za Muda October 07, 2020
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • Jamii Yashauriwa Kuacha Ukatili

    December 17, 2020
  • Rasmi Ngano Kulimwa Bahi

    December 15, 2020
  • DC Munkunda: Madiwani Shirikianeni Kutatua Kero za Wananchi

    December 14, 2020
  • DC Munkunda Akabidhi Vifaa vya Milioni 10.8

    December 01, 2020
  • Tazama Zote

Video

RC MAHENGE AZITAKA HALMASHAURI ZA JIJI LA DODOMA KUAINISHA FURSA ZA UWEKEZAJI.
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Tazama na Kudownload Orodha ya Walioitwa Kwenye Interview kwa Nafasi za Watendaji wa Vijiji Bahi
  • Matokeo Kidato cha Nne 2017
  • Tazama matokeo ya Darasa la saba 2019 ya shule zote za Bahi
  • Tazama na Kudownload vigezo vya Nafasi za Kazi kwa Watendaji wa Vijiji
  • Matokeo ya QT
  • 1: Matokeo ya Upimaji wa Kitaifa Darasa la Nne (SFNA) 2017
  • 2: Matokeo ya Upimaji wa Kitaifa Darasa la Nne (SFNA) 2017
  • Vendor Form
  • 2: Matokeo ya Upimaji wa Kitaifa Kidato cha Pili (FTNA) 2017

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Utumishi
  • OR-TAMISEMI
  • Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
  • Tovuti ya Mkoa wa Dodoma
  • Tovuti ya Ikulu

Watembeleaji wa Nje

world map hits counter

Watembeleaji

Counter Widgets

Ramani

Wasiliana Nasi

    Halmashauri ya Wilaya ya Bahi

    Anuani: S.L.P 2993 DODOMA

    Simu: +255 26 2961400

    Simu: +255 766 643 266

    Barua Pepe: ded@bahidc.go.tz

Mawasiliano Zaidi

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Bahi. Haki Zote Zimehifadhiwa