Mbegu bora ya muhogo
Halmashauri ya Wilaya ya Bahi kwa kushirikiana na wakulima katika Kata ya Ilindi inawatangazia wananchi wanaohitaji mbegu bora za Muhogo aina ya Kiloba inapatikana kwa bei ya Tsh 258,000/= kwa tani moja na tsh 2500/= kwa mzigo mmoja (fimbo moja Tsh 800/=).
Mawasiliano:
Anthony Sahali
Afisa Kilimo Kata ya Ilindi
0756314203
Limatolewa na:-
Albert Mushi
Afisa Kilimo (W)
Kny. Mkurugenzi Mtendaji (W)
BAHI.
Halmashauri ya Wilaya ya Bahi
Anuani: S.L.P 2993 DODOMA
Simu: +255 755 352 875
Simu: +255 689 571 881
Barua Pepe: ded@bahidc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Bahi. Haki Zote Zimehifadhiwa