• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
BAHI DISTRICT COUNCIL
BAHI DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bahi

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango na Takwimu
      • Fedha na Biashara
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kazi na Moto
      • Afya
      • Maji
      • Kilimo na Umwagiliaji
      • Ardhi na Maliasili
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • Teknolojia na Mawasiliano Serikalini
      • Sheria
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Baraza la Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Utawala na Mpiango
      • Ujenzi,Uchumi na Mazingira
      • Elimu, Afya na Maji
      • Kudhibiti UKIMWI
      • Maadili ya Madiwani
    • Ratiba
      • Vikao vya Kisheria
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi iliyokubaliwa
    • Miradi Inayoendelea
      • TASAF
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Kazi
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbali Mbali
    • Miongozo Mbali Mbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video Mbali Mbali
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

KAMATI YA WATAALAMU WA MAAFA YAZINDULIWA KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA BAHI (KAMATI TENDAJI YA MAAFA WILAYA).

03 November 2023

Kamati ya Wataalam ya Wilaya ya Usimamizi wa Maafa ina jukumu la kuishauri Kamati Elekezi ya Wilaya ya Usimamizi wa Maafa kuhusu hali ya maafa Wilayani na kuhakikisha inaandaa mipango ya maendeleo inayozingatia hatari za maafa.

Kamati ya Wataalam ya Wilaya ya Usimamizi wa Maafa ina wajumbe wafuatao;

  • Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ambaye ndiye Mwenyekiti;
  • Wakuu wa Idara na Vitengo vyote katika Halmashauri;
  • Afisa Operesheni Wilaya wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji;
  • Mkuu wa Upelelezi Wilaya wa Jeshi la Polisi Tanzania;
  • Mkuu wa taasisi inayohusika na barabara za mijini na vijijini Wilayani;
  • Wakuu wa taasisi zinazohusika na huduma za maji na usafi wa mazingira Wilayani;
  • Mratibu wa Wilaya wa Chama cha Msalaba Mwekundu Tanzania;
  • Kamishna wa Skauti Wilayani.

Mkuu wa Idara ya Mipango wa Halmashauri ndiye Katibu wa Kamati. Kamati ya Wataalam ya Wilaya ya Usimamizi wa Maafa inaweza kumualika mtu yeyote kwenye kikao chake kama itakavyoona inafaa, kutegemea na tishio au madhara ya tukio la maafa. (mfano; TANESCO n.k)

Majukumu ya Kamati ya Wataalam ya Wilaya ya Usimamizi wa Maafa.

Kamati ya Wataalam ya Wilaya ya Usimamizi wa Maafa ina jukumu la; -

  • Kuratibu, kusimamia na kufuatilia utekelezaji wa shughuli za usimamizi wa maafa na huduma za dharura kama itakavyoelekezwa na Kamati Elekezi ya Wilaya ya Usimamizi wa Maafa;
  • Kusaidia, kuhamasisha upatikanaji na kutenga rasilimali kwa ajili ya usimamizi wa maafa na huduma za dharura Wilayani;
  • Kuwezesha na kufuatilia ujumuishaji wa masuala ya kupunguza madhara ya majanga katika mpango wa maendeleo, miradi, programu na bajeti;
  • Kusaidia na kushiriki kufanya tathmini ya hatari za majanga, madhara ya uharibifu na mahitaji ya kibinadamu na kurejesha hali baada ya maafa katika eneo husika;
  • Kuandaa na kutekeleza mkakati wa kupunguza madhara ya maafa na mpango wa kujiandaa na kukabiliana na dharura, kuendesha mafunzo, mazoezi ya nadharia na mfumo wa kurejesha hali katika eneo husika;
  • Kutoa mwelekeo wa makisio ya rasilimali zitakazohitajika kwa mwaka wa fedha katika Mfuko wa Taifa wa Usimamizi wa Maafa;
  • Kuandaa mfumo wa teknolojia na mawasiliano ya habari kwa ajili ya tahadhari ya mapema, operesheni na takwimu kwa ajili ya usimamizi wa maafa Wilayani;
  • Kutunza kumbukumbu za taarifa na takwimu za awali za matukio ya maafa na hatua za tahadhari katika Wilaya;
  • Kutafsiri taarifa za tahadhari ya mapema dhidi ya majanga na kupendekeza hatua za kuchukua katika Wilaya; na
  • Kuainisha, kufanya tathmini na kuandaa profaili ya majanga katika Wilaya.

Kamati ya Wataalam ya Wilaya ya Usimamizi wa Maafa inaweza kuanzisha kamati ndogo kwa ajili ya kuhakikisha utekelezaji bora wa shughuli za usimamizi na uratibu wa maafa katika Wilaya.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE MAFUNZO May 07, 2025
  • KUITWA KWENYE USAILI May 02, 2025
  • Mikopo ya Hazina Kwa Watumishi wa Umma October 27, 2024
  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU MIKOPO INAYOTOLEWA KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU (Limetolewa kwa kuzingatia kanuni ya 8(1) February 20, 2025
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • DC JOACHIM NYINGO AKABIDHI VIFAA VYA SHULE VYA MILIONI 5.3

    May 06, 2025
  • MWENGE WAZINDUA MIRADI YENYE THAMANI YA BILIONI MOJA MILIONI MIA TANO KUMI NA SABA LAKI NANE ELFU MIASITA THEMANINI NA NANE NUKTA SITA.(TSH.1,517,414,684.63) KATIKA WILAYA YA BAHI.

    April 25, 2025
  • MKOA WA DODOMA WAPOKEA RASMI MWENGE WA UHURU 2025.

    April 20, 2025
  • KARUME DAY

    April 07, 2025
  • Tazama Zote

Video

Jinsi ya kuomba uhamisho kwenye mfumo wa Utumishi
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Tazama na Kudownload Orodha ya Walioitwa Kwenye Interview kwa Nafasi za Watendaji wa Vijiji Bahi
  • Matokeo Kidato cha Nne 2017
  • Tazama matokeo ya Darasa la saba 2019 ya shule zote za Bahi
  • Tazama na Kudownload vigezo vya Nafasi za Kazi kwa Watendaji wa Vijiji
  • Matokeo ya QT
  • 1: Matokeo ya Upimaji wa Kitaifa Darasa la Nne (SFNA) 2017
  • 2: Matokeo ya Upimaji wa Kitaifa Darasa la Nne (SFNA) 2017
  • Vendor Form
  • 2: Matokeo ya Upimaji wa Kitaifa Kidato cha Pili (FTNA) 2017

Viunganishi Linganifu

  • NECTA
  • Mfumo wa uhamisho kwa watumishi,Mikopo na Kupata Salary Slips
  • Utumishi
  • OR-TAMISEMI
  • Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
  • Tovuti ya Mkoa wa Dodoma

Watembeleaji wa Nje

world map hits counter

Watembeleaji

Counter Widgets

Ramani

Wasiliana Nasi

    Kitengo cha Ugavi na Manunuzi

    Anuani: S.L.P 2993 DODOMA

    Simu: +255 762077589

    Simu: +255 762077589

    Barua Pepe: ded@bahidc.go.tz

Mawasiliano Zaidi

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Bahi. Haki Zote Zimehifadhiwa