Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Bahi Bi.Zaina M.Mlawa ametangaza kuuza viwanja katika Halmashauri ya Wilaya ya Bahi kwa Bei nafuu. Kwa Maelezo ya kujua ukubwa na gharama za viwanja hivyo pakua nyaraka yenye maandishi ya bluu.
Nyaraka ya Maelezo ya Namna ya Kununua Viwanja katika Wilaya ya Bahi..pdf
Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
Anuani: S.L.P 2993 DODOMA
Simu: +255 762077589
Simu: +255 762077589
Barua Pepe: ded@bahidc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Bahi. Haki Zote Zimehifadhiwa