Sunday 8th, September 2024
@Bahi
Mkuu wa Wilaya ya Bahi Mhe.Godwin Gondwe akishirikiana na uongozi wote Halmashauri ya Wilaya ya Bahi Watumishi wa Umma na wanachi wote ataongoza zoezi la upandaji miti miche mia mbili (200) katika chuo kipya cha VETA kilichopo katika wilaya hiyo
Halmashauri ya Wilaya ya Bahi
Anuani: S.L.P 2993 DODOMA
Simu: +255 687748878
Simu: +255 687748878
Barua Pepe: ded@bahidc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Bahi. Haki Zote Zimehifadhiwa