MKURUGENZI MTENDAJI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA BAHI BI. ZAINA M. MLAWA AZINDUA KIKAO CHA BALAZA MAAUJMU.
Kikacha baraza maalumu kimezinduliwa na kufanyika leo katika ukumbi wa Halimashauri ya Walaya ya Bahi ili kujadili na kupitisha Mpango na Bajeti ya Mwaka 2025/2026.
Aidha,kikao hicho kimehudhuriwa na Katibu
Tawala wa Wilaya ya Bahi Ndugu. Mwanamvua Bakari, Wakuu wa Idara na Vitengo, Watumishi mbalimbali pamoja na wadau wa haki za wafanyakazi 21
Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
Anuani: S.L.P 2993 DODOMA
Simu: +255 762077589
Simu: +255 762077589
Barua Pepe: ded@bahidc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Bahi. Haki Zote Zimehifadhiwa