Mkuu wa Wilaya ya Bahi, Mhe. Elizabeth S. Kitundu akipanda mti mbele ya jengo la Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Bahi ikiwa ni ishara ya kumuunga mkono Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe Samia Suluhu Hassan kupitia Kampeni yake ya 'kijanisha Dodoma' na kuhakikisha kila wilaya nchini inapanda miti milioni 1.5 kila mwaka. Mhe. Kitundu aliwaongoza watumishi mbalimbali wilayani Bahi kupanda miti hiyo Februari 08, 2018.
Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
Anuani: S.L.P 2993 DODOMA
Simu: +255 762077589
Simu: +255 762077589
Barua Pepe: ded@bahidc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Bahi. Haki Zote Zimehifadhiwa