Kikao cha kamati ya fedha,uongozi na mipango ni kikao cha kisheria na siku ya leo tarehe13/06/2024 kinaendelea kufanyika katika ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya ya Bahi kinaongozwa na Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Bahi MNEC Mhe.Donald Mejiti.
Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
Anuani: S.L.P 2993 DODOMA
Simu: +255 762077589
Simu: +255 762077589
Barua Pepe: ded@bahidc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Bahi. Haki Zote Zimehifadhiwa