Taasi ya Lead Foundation yaja na mkatati wa kupambana na mabadiriko ya tabia nchi hasa ongezeko la joto kupitia mradi wa kisiki hai,Wadau hao wamazingira wamejikita katika kutoa elimu na kuifanya jamii kuwa na uelewa mpana juu ya athali za mabadiliko tabia nchi na namna ya kukabiliana ili kuiweka jamii katika mazingira salama. Lead Foundation imefanya kikao na wadau mbalimbali katika Wilaya ya Bahi ambapo mgeni rasmi wa kikao hicho ni Mkuu wa Wilaya ya Bahi Mhe.Rebecca Nsemwa.kupitia kikao hicho ambacho kilishirikisha watendaji wa kata na vijiji Mhe.Rebecca Nsemwa ametoa maagizo kwa watendaji hao kuhakikisha suala hilo linakuwa ajenda ya kudumu katika mikutano yao ya vijiji na kata ili kuwafikia wananchi wote wa Wilaya ya Bahi.
Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
Anuani: S.L.P 2993 DODOMA
Simu: +255 762077589
Simu: +255 762077589
Barua Pepe: ded@bahidc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Bahi. Haki Zote Zimehifadhiwa