Mafunzo ya Mfumo wa O & OD yaendelea kufanyika Mjini morogoro kwa kundi la la tatu la wataalam kutoka mikoa mbalimbali hapa,kama Dar-es- salaam,Arusha,Morogoro,Dodoma,Tabora nk. Ikumbumbukwa kuwa huu ni muendelezo wa kuwaongezea ujuzi wa namna ya kutumia Mfumo wa Furs na Vikwazo kwa Maendeleo Ulioboreshwa (IMES) kwa Wataalam wa Mikoa na Halimashauri kote nchini kupitia TAMISEMI ikishirikiana na Chuo Cha Maendeleo ya Jamii (HOMBOLO).
Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
Anuani: S.L.P 2993 DODOMA
Simu: +255 762077589
Simu: +255 762077589
Barua Pepe: ded@bahidc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Bahi. Haki Zote Zimehifadhiwa