BARAZAla Mitihani la Taifa (NECTA), latangaza matokeo ya kidato cha nne mwaka 2017 naMatokeo ya Mtihani wa Maarifa (QT), ambapo ufaulu umepanda kwa asilimia 7.22huku watahiniwa 265 wakifutiwa matokeo kwa udanganyifu.
BOFYA HAPA KUONA MATOKEO KIDATO CHA NNE 2017
BOFYA HAPA KUONA MATOKEO YA MTIHANI WA MAARIFA (QT) 2017
Orodhaya Shule 10 Bora.
1. St. Francis Girls – Mbeya
2. Feza Boys – Dar es Salaam
3. Kemoboya – Kagera
4. Bethel Sabs Girls – Iringa
5. Anwarite Girls – Kilimanjaro
6. Marian Girls – Pwani
7. Canossa – Dar
8. Feza Girls – Dar
9. Marian Boys – Pwani
10. Shamsiye Boys – Dar
ShuleKumi (10) Za Mwisho Kitaifa
1. Kusini – Kusini Unguja
2. Pwani Mchangani – KaskaziniUnguja
3. Mwenge SMZ – Mjini Magharibi
4. Langoni – Mjini Magharibi
5. Furaha – Dar
6. Mbesa – Ruvuma
7. Kabugaro – Kagera
8. Chokocho- Kusini Pemba
9. Nyeburu – Dar
10. Mtule – Kusini Unguja
Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
Anuani: S.L.P 2993 DODOMA
Simu: +255 762077589
Simu: +255 762077589
Barua Pepe: ded@bahidc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Bahi. Haki Zote Zimehifadhiwa