Leo tarehe 22 Oktoba 2024,Mkuu wa Wilaya ya Mhe. Rebecca Nsemwa amewataka wakuu wa Divisheni ya Afya kusimamia kwa umakini watumishi wa Afya katika vituo vyao vya Kutolea huduma,ameyasema hayo katika kikao kazi kilichofanyika katika ukumbi wa Hospitali ya Wilaya ya Bahi lengo kuu ikiwa kuhakikisha huduma bora za Afya kwa wananchi wa Wilaya hiyo pamoja kupungunguza malalamiko mbalimbali ambayo wananchi wameendelea kuyatoa katika ziara zake mbalimbali anazozifanya katika Kata na Vijiji mbalimbali ndani ya Wilaya ya Bahi.
Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
Anuani: S.L.P 2993 DODOMA
Simu: +255 762077589
Simu: +255 762077589
Barua Pepe: ded@bahidc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Bahi. Haki Zote Zimehifadhiwa