Septemba 20,2024. Wilaya ya Bahi yapokea samahani zenye thamani ya Tsh. Milioni thelathini na mbili{32,000,000} kutoka taasisi fedha ya{ NMB} zitakazotumika kwa kwa Shule tano {Chonama Sekondari Viti na Meza 50,Mpinga Sekondari Viti na Meza 50,Chonde Msingi Madawati 50,Lamaiti Msingi Madawati 50 na Nholi Msingi Madawati 100}. Na pichani meza kuu wa katikati ni Mkuu wa Wilaya Bahi Mhe Rebecca Sanga Nsemwa na kushoto kwake ni Mbunge wa Bahi Mhe Kenneth Ernest Nollo na kulia kwake ni Meneja wa {NMB} Kanda ya kati Bi Janeth Shango,Wakiwa pamoja na Viongozi mbalimbali,Wazazi,Walimu na Wanafunzi katika hafla hiyo iliyoandaliwa na kufanyika Shule ya Sekondari Mpinga.
Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
Anuani: S.L.P 2993 DODOMA
Simu: +255 762077589
Simu: +255 762077589
Barua Pepe: ded@bahidc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Bahi. Haki Zote Zimehifadhiwa