Mwenge Wa Uhuru kwa Mwaka 2025 Ulipokelewa Jana tarehe 25/04/2025 kutoka Kondoa na kuingia katika Halmashauri ya Wilaya ya Bahi tarafa ya Mundemu,kata ya Babayu na Kijiji cha Kongogo ambapo ulikimbizwa katika Miradi Sita ndani ya Wilaya hiyo yenye thamani ya shilingi Bilioni Moja Milioni Miatano Kumi na Saba laki Nne Kumi na Nne alfu Mia sita themanini na Nne nukta Sita tatu ( Tsh.1,517,414,684.63) miradi hiyo yote sita imekubaliwa.
Aidha,Mwenge huo ulilala katika Tarafa ya Bahi,kata ya Bahi katika Viwanja vya Shule ya Msingi Chiona na kukabidhiwa tarehe 26/04/2025 katika Halmashauri ya Wilaya ya Dodoma Jiji.
Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
Anuani: S.L.P 2993 DODOMA
Simu: +255 762077589
Simu: +255 762077589
Barua Pepe: ded@bahidc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Bahi. Haki Zote Zimehifadhiwa