Tarifa ya Ujenzi wa Barabara km 8.6 na Boksi Kalavati la Nghulugano Barabara ya Chigongwe - Chipanga
Jina la Mradi
|
: |
Ujenzi wa barabara km8.6 na boksi kalavati ya Ngulugano barabara Chigongwe – Chipanga
|
Namba ya Mradi
|
: |
LGA/024/2015 – 2016/W/DFID–IRAT/02
|
Mwajiri
|
: |
Mkurugezi wa Halmashauri (W) Bahi na sasa ni Mratibu wa TARURA (M)- Dodoma
|
Jina la Mkandarasi
|
: |
Ravj Construction Ltd, S.L.P. 9936, Dar Es Salaam
|
Tarehe ya kuanza kazi
|
: |
03/10/ 2016
|
Tarehe ya kumaliza kazi
|
: |
03/06/ 2017
|
Tarehe ya muda wa kumaliza kazi baada kuridhiwa kwa nyogeza ya kwanza ya muda wa utekelezaji
|
: |
25/08/2017
|
Kiwago cha kazi kilichofanyika
|
: |
100%
|
GharamayaMkataba
|
: |
TSh. 1,525,487,887.50 (bila VAT)
|
Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
Anuani: S.L.P 2993 DODOMA
Simu: +255 762077589
Simu: +255 762077589
Barua Pepe: ded@bahidc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Bahi. Haki Zote Zimehifadhiwa