Taarifa ya Ujenzi wa Barabara ya Bahi Mjini kwa Kiwango cha Lami
Jina la Mradi
|
Ujenzi wa barabara za Bahi mjini km 1.5 kwa kiwango cha lami
|
Namba ya Mradi
|
LGA/024/2015-2016/W/08
|
Eneo la Mradi
|
Bahi Mjini
|
Mwajiri
|
Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Bahi
|
Jina la Mkandarasi
|
M/s Medes Company LTD, P.O. Box 46218 Dar Es Salaam
|
Tarehe ya kuanza mradi
|
26 Juni, 2016
|
Tarehe ya kumaliza mradi
|
22 Desemba, 2016
|
Gharama ya Mradi
|
Tshs. 471,017,953.83
|
Kiwago cha kazi kilichofanyika
|
100%
|
Jina la Mradi
|
Ujenzi wa barabara za Bahi mjini kwa kiwango cha lami km 1.00
|
Namba ya Mradi
|
LGA/024/2016 – 2017/W/08
|
Eneo la Mradi
|
Bahi Mjini
|
Mwajiri
|
Mkurugezi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Bahi
|
Jina la Mkandarasi
|
Medes Company Limited, S.L.P 46218, Dar Es Salaam
|
Tarehe ya kuanza kazi
|
26/6/ 2017
|
Tarehe ya kumaliza kazi
|
22/12/ 2017
|
Kiwago cha kazi kilichofanyika
|
100%
|
Gharama ya Mkataba
|
TSh. 585,000,000.00 (Pamoja na VAT)
|
Kwa taarifa na picha za mradi bofya hapa
Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
Anuani: S.L.P 2993 DODOMA
Simu: +255 762077589
Simu: +255 762077589
Barua Pepe: ded@bahidc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Bahi. Haki Zote Zimehifadhiwa