Wananchi Wilayani Bahi wakiongozwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Bahi Bi Zaina Mfaume Mlawa waadhimisha vyema kumbukizi ya Hayati Abeid Amani Karume sambamba na siku ya Afya Duniani kwa kuungana Wananchi pamoja na Madaktari kupima afya pamoja na utoaji wa elimu inahohusu magonjwa na lishe bora.
Aidha kupitia shamlashamla hizo swala la mazingira limepewa kipaumbele ikiwa Mkurugenzi pamoja na Wananchi wameshiriki kupanda Miti 300 ya matunda Katika Zahanati ya Mayamaya kama sehemu ya utunzaji wa Mazingira kuikijanisha Bahi.
Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
Anuani: S.L.P 2993 DODOMA
Simu: +255 762077589
Simu: +255 762077589
Barua Pepe: ded@bahidc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Bahi. Haki Zote Zimehifadhiwa