TAREHE: 07 MEI, 2025
Afisa Mwandikishaji Jimbo la Bahi anapenda kuwatangazia kuwa, wafuatao wameitwa kwenye mafunzo ya Waandishi wasaidizi na Waendesha vifaa vya Bayometriki kwa ajili ya zoezi la Uboreshaji wa Daftari la kudumu la Wapiga Kura awamu ya pili. Mafunzo yatafanyika tarehe 14 Mei, 2025 katika ukumbi wa Side View uliopo Bahi.
Muda wa mafunzo ni saa mbili kamili (2:00) asubuhi.
Orodha ya majina ya walioitwa inapatikana kwenye mbao za matangazo kwenye kila kata na kwenye HAPA ORODHA YA WALIOITWA KWENYE MAFUNZO.pdf
Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
Anuani: S.L.P 2993 DODOMA
Simu: +255 762077589
Simu: +255 762077589
Barua Pepe: ded@bahidc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Bahi. Haki Zote Zimehifadhiwa