Leo tarehe 04/09/2025 yamefanyika mafunzo maalumu kwa vyama vya Siasa, Mafunzo haya yamefanywa na kutolewa na wasajili wa vyama vya uchaguzi katika ofisi ya Uchaguzi Jimbo la Bahi.
Aidha mafunzo hayo yamehudhuriwa na vyama 17 vya Siasa kwaajili ya kupokea na kujifunza mafunzo hayo toka kwa wasajari wa vyama.
Mafunzo hayo pia yalihudhuriwa na Msimamizi wa Uchaguzi pamoja na Afisa Uchaguzi Jimbo la Bahi.
Mafunzo haya yalilenga kuweka wazi kuhusu miongozo, kanuni na taratibu bila kusahau maadili mbalimbali kwa vyama vya Siasa dhidi ya zoezi la uchaguzi Mkuu 2025
Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
Anuani: S.L.P 2993 DODOMA
Simu: +255 762077589
Simu: +255 762077589
Barua Pepe: ded@bahidc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Bahi. Haki Zote Zimehifadhiwa