• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
BAHI DISTRICT COUNCIL
BAHI DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bahi

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango na Takwimu
      • Fedha na Biashara
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kazi na Moto
      • Afya
      • Maji
      • Kilimo na Umwagiliaji
      • Ardhi na Maliasili
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • Teknolojia na Mawasiliano Serikalini
      • Sheria
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Baraza la Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Utawala na Mpiango
      • Ujenzi,Uchumi na Mazingira
      • Elimu, Afya na Maji
      • Kudhibiti UKIMWI
      • Maadili ya Madiwani
    • Ratiba
      • Vikao vya Kisheria
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi iliyokubaliwa
    • Miradi Inayoendelea
      • TASAF
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Kazi
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbali Mbali
    • Miongozo Mbali Mbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video Mbali Mbali
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

Maendeleo ya Jamii


IDARA YA MAENDELEO YA JAMII 

  • 1.0 UTANGULIZI
  • Idara ya Maendeleo ya Jamii ni sekta mtambuka inayofanya kazi ya uraghbishi wa Kuwajengea uwezo  na uelewa juu ya mwitikio kuanzisha na kuendeleza shughuli za kiuchumi pamoja kushiriki kwenye utekelezaji wa shughuli mbalimbali za za kimaendeleo, kijamii na kiuchumi ili waweze kuleta/kujiletea maendeleo chanya yaliyotarajiwa kufikiwa na jamii husika na hatimaye maisha bora.Hivyo mbinu  shirikishi na zana mbalimbali za maendeleo ya Jamii ( PRA &O&OD) kwa kuemilisha jamii,kutoa hamasa/kulaghibisha wananchi ili watambue kuwa wao ndio msingi wa maendeleo kwa kutumia raslimali walizonazo ndani na nje ambazo hutolewa na Serikali pamoja na wahisani kutoka ngazi mbalimbali.

   2.0 MUUNDO WA IDARA

     Idara huongozwa na mkuu wa Idara ya Maendeleo ya Jamii na Vijana. Katika        

     Idara kuna madawati sita (6) ambayo yamegawanyika kiutendaji, madawati hayo yana  

      wakuu wake ambao kwa ujumla wake humsaidia mkuu wa Idara kiutendaji.Madawati hayo ni:-

        1.Dawati la uratibu wa Ushirikishwaji wa Jamii

        2.Dawati la uratibu wa Uwezeshaji wananchi na kupunguza umaskini

        3.Dawati la uratibu wa Maendeleo ya watoto.

       4. Dawati la uratibu wa masuala mtambuka

       5. Dawati la uratibu wa Maendeleo ya jinsia

       6. Dawati la uratibu wa Mashirika yasiyo ya Kiserikali.

i). Dawati la uratibu wa Ushirikishwaji wa Jamii.

  • Dawati hili linawajibu wa kuratibu kufuatilia na kutoa taarifa kuhusu ushirikishwaji jamii katika utatuzi wa changamoto za maendeleo ikiwemo uibuaji wa mipango na miradi inayozingatia vipaumbele vya jamii na Taifa.
  • Kuratibu ukusanyaji na uchambuzi wa Takwimu za jamii na kiuchumi zitakazotumika katika maandalizi ya mipango shirikishi.
  • Kuratibu uaandaji wa jumbe rahisi zinazoelimisha jamii kwa mtazamo chanya kuhusu miradi mikubwa ya Serikali pamoja na mikataba mbalimbali ya kimataifa,sera na dhana mbalimbali za maendeleo na maelekezo ya Serikali mfano;Ugautaji wa madaraka,Elimu Bure,mabadiliko ya tabia ya nchi nk.
  • Kuratibu shughuli za maendeleo ya Jamii TASAF.

    ii). Dawati la uratibu wa Uwezeshaji wananchi na kupunguza umaskini

  • Dawati hili linashughulikia uwezeshwaji wa wananchi/jamii kiuchumi kupitia vikundi vya Uzalishajimali
  • Kutoa Elimu ya Ujasiriamali, kuhamasisha uundaji wa vikundi, kuunda majukwaa ya Wanawake na ya Kata ya uwezeshaji wananchi kiuchumi.
  •  Kuratibu ukusanyaji na uchambuzi wa Takwimu za miradi  na fursa mbalimbali za uwezeshaji wananchi kiuchumi kwa ajili ya matumizi ya mipango shirikishi.
  • Kuratibu mipango na tafiti mbalimbali kwa manufaa ya jamii.

iii). Dawati la uratibu wa Maendeleo ya watoto

Dawati hili kwa ujumla litahusika na kusimamia,kuratibu utekelezaji wa haki,utoaji wa elimuya malezi katika ngazi ya familia na maendeleo ya ujumla kwa mtotoikiwemo kuratibu ukusanyaji,uhuhishaji,uchambuzi na usambazaji wa takwimu zinazo wahusu watoto.Hivyo majukumu ya msingi ni:-

  • Kuratibu programu za haki na maendeleo ya mtoto zinazotekelezwa na wadau ili kuhakikisha zinafuata sera, sharia za serikali na mikataba ya kikanda na Kimataifa inayolenga haki za mtoto.
  • Kuhamasisha na kuelimisha familia,  jamii na wadau katika kuwekeza kwenye malezi, makuzi na maendeleo ya awali ya mtoto ili kuwa na jamii bora iliyojengwa kwa misingi ya umoja na mshikamano wa kitaifa.
  • Kuhakikisha ukatili dhidi ya watoto unakomeshwa kwa kuongeza uelewa kwa jamii juu ya masuala ya haki,ulinzi na ustawi wa mtoto yanahimizwa kupitia redio,runinga,maadhimisho na mikutano na kuanzisha mabaraza ya watoto ya kata na vijiji.

 iv). Dawati la uratibu wa masuala mtambuka

  • Kuratibu na kuhamasisha jamii kuhusu kujiunga na Bima ya Afya iliyoboreshwa ili kupata huduma za afya kwa gharama nafuu.
  • Kuratibu masuala ya lishe,mazingira na afya ya Jamii.
  • Kuratibu uthibiti wa maambukizi ya UKIMWI na Maambukizi mapya ya UKIMWI katika jamii.

   v). Dawati la uratibu wa Maendeleo ya jinsia

  • Kusimamia, kuratibu na kufuatilia uingizwaji wa masuala ya jinsia katika programu, mipango na afua mbalimbali za maendeleo katika ngazi ya Halmashauri. Kuratibu mikataba na  itifaki za kimataifa iliyoridhiwa na nchi wahisani.
  • Kuhakikisha masuala yote ya kijinsia yanaingizwa katika mipango ya vijiji, Mitaa na Halmashauri.
  • Kuratibu mafunzo mbalimbali ya Kijinsia kwa kadri ya mahitaji.

vi). Dawati la uratibu wa mashirika yasiyo ya kiserikali

  • Kuratibu na kusimamia shughuli zote za  mashirika yasiyokuwa ya kiserikali ili kufuata maelekezo ya serikali, taratibu na kuhakikisha taarifa za utekelezaji zinaletwa kwa wakati.
  • Kufuatilia utendaji wa mashirika ili kujiridhisha kuhusu utendaji wao wa kazi
  • Kuratibu watoa huduma za msaada wa katika jamii na vikundi vya kijamii(CBOs).
  • Kutatua changamoto mbalimbali ikiwemo migogoro.
  • Kuandaa taarifa inayohusu mashirika yasikuwa ya Kiserikali na kuiwasilisha kwa msajili wa mashirika.
  •  

3.0 MAJUKUMU YA JUMLA YA WATALAMU WA MAENDELEO YA JAMII

  • Kushirikisha Jamii katiaka kuainisha fursa na changamoto zinazoikabili ili kujiletea Maendeleo.
  • Kuelimisha Jamii kuondokana na Fikra, Imani, Mila, Desturi na Tamaduni zinazokinzana na Maendeleo.
  • Kushirikisha Jamii katika kuwaunganisha na kuwawezesha makundi maalum katika fursa na Mchakato wa Maendeleo ili kuinua ustawi wao.
  • Kuratibu utekelezaji na uzingatiaji wa masuala ya jinsia katika Programu na Mipango ya Maendeleo katika Sekta mbalimbali
  • Kujenga uwezo kwa viongozi wa Halmashauri za vijiji/ Mitaa na serikali za Mitaa juu ya dhana ya Utawala Bora.
  • Kuwezesha jamii kutumia fursa ya sera za kisekta na mikakati yake katika kujiletea Maendeleo.
  •  Kuwezesha wananchi kunufaika na fursa za Kiuchumi
  • Kuwezesha jamii kutekeleza Haki na Malezi ya Mtoto
  • Kuwezesha usajili, kuratibu na ufuatiliaji wa Mashirika yasiyo ya Kiserikali.
  • Kuwezesha jamii kutambua, kuanisha na kuzuia migogoro inayoathiri Maendeleo.
  • Kuratibu na kuhamasisha ushiriki wa jamii katika masuala mtambuka.
  • Kutoa Elimu ya Haki na Wajibu wa jamii na kuwezesha uratibu   nausajili wa watoa huduma za msaada za kisheria katika ngazi ya   Mikoa na Wilaya.
  • Kuelimisha jamii faida za miradi mikubwa ya Kitaifa kwa Maendeleo ya Taifa na fursa kwa Jamii.


Bofya hapa kupata zaidi Taarifa ya Idara ya Maendeleo ya Jamii.pdf




Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE MAFUNZO May 07, 2025
  • KUITWA KWENYE USAILI May 02, 2025
  • Mikopo ya Hazina Kwa Watumishi wa Umma October 27, 2024
  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU MIKOPO INAYOTOLEWA KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU (Limetolewa kwa kuzingatia kanuni ya 8(1) February 20, 2025
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • MHE.KHADIJA SHABANI TAYA (KEISHA) ACHANGIA HUDUMA ZA AFYA KWA KUTOA MASHUKA 20 HOSPITALI YA WILAYA YA BAHI.

    May 12, 2025
  • MAFUNZO YA WAANDISHI WASAIDIZI NA WAENDESHA VIFAA VYA KIELETRONIKI YAFANYIKA JIMBO LA BAHI

    May 14, 2025
  • DC JOACHIM NYINGO AKABIDHI VIFAA VYA SHULE VYA MILIONI 5.3

    May 06, 2025
  • MWENGE WAZINDUA MIRADI YENYE THAMANI YA BILIONI MOJA MILIONI MIA TANO KUMI NA SABA LAKI NANE ELFU MIASITA THEMANINI NA NANE NUKTA SITA.(TSH.1,517,414,684.63) KATIKA WILAYA YA BAHI.

    April 25, 2025
  • Tazama Zote

Video

Jinsi ya kuomba uhamisho kwenye mfumo wa Utumishi
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Tazama na Kudownload Orodha ya Walioitwa Kwenye Interview kwa Nafasi za Watendaji wa Vijiji Bahi
  • Matokeo Kidato cha Nne 2017
  • Tazama matokeo ya Darasa la saba 2019 ya shule zote za Bahi
  • Tazama na Kudownload vigezo vya Nafasi za Kazi kwa Watendaji wa Vijiji
  • Matokeo ya QT
  • 1: Matokeo ya Upimaji wa Kitaifa Darasa la Nne (SFNA) 2017
  • 2: Matokeo ya Upimaji wa Kitaifa Darasa la Nne (SFNA) 2017
  • Vendor Form
  • 2: Matokeo ya Upimaji wa Kitaifa Kidato cha Pili (FTNA) 2017

Viunganishi Linganifu

  • NECTA
  • Mfumo wa uhamisho kwa watumishi,Mikopo na Kupata Salary Slips
  • Utumishi
  • OR-TAMISEMI
  • Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
  • Tovuti ya Mkoa wa Dodoma

Watembeleaji wa Nje

world map hits counter

Watembeleaji

Counter Widgets

Ramani

Wasiliana Nasi

    Kitengo cha Ugavi na Manunuzi

    Anuani: S.L.P 2993 DODOMA

    Simu: +255 762077589

    Simu: +255 762077589

    Barua Pepe: ded@bahidc.go.tz

Mawasiliano Zaidi

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Bahi. Haki Zote Zimehifadhiwa