• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
BAHI DISTRICT COUNCIL
BAHI DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bahi

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango na Takwimu
      • Fedha na Biashara
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kazi na Moto
      • Afya
      • Maji
      • Kilimo na Umwagiliaji
      • Ardhi na Maliasili
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • Teknolojia na Mawasiliano Serikalini
      • Sheria
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Baraza la Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Utawala na Mpiango
      • Ujenzi,Uchumi na Mazingira
      • Elimu, Afya na Maji
      • Kudhibiti UKIMWI
      • Maadili ya Madiwani
    • Ratiba
      • Vikao vya Kisheria
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi iliyokubaliwa
    • Miradi Inayoendelea
      • TASAF
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Kazi
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbali Mbali
    • Miongozo Mbali Mbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video Mbali Mbali
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

Teknolojia na Mawasiliano Serikalini

Kitengo cha Tehama na mahusiano ni miongoni mwa vitengo nyeti katika Halmashauri ya Wilaya ya Bahi.Kitengo hiki ni kipya katika Mamlaka za Serikali za Mitaa, kutokana na maboresho ya muundo wa Mamlaka za Serikali za Mitaa yaliyofanyika mwaka 2022. Kitengo hiki kinaundwa na na kada ya TEHAMA (Teknolojia ya Habari na Mawasiliano serikalini) pamoja.

Kitengo hiki kina majukumu makuu yafuatayo:

A. TEHAMA

  • Kuhakikisha mifumo ya TEHAMA iliyopo katika Halmashauri inafanya kazi kama inavyotakiwa.
  • Kutoa msaada wa kiufundi kwa watumishi wote wa Halmashauri katika eneo la TEHAMA
  • Kutoa mafunzo kwa watumishi wa Halmashauri katika masuala ya TEHAMA zikiwemo programu mbali mbali
  • Kusimamia sera, mikakati na miongozo inayotolewa na Serikali Kuu juu ya uendeshaji wa mifumo, miundombinu na vifaa vya TEHAMA
  • kuibua mahitaji ya mifumo ili iweze kusanifiwa na kisha kutengenezwa na kumtumika.
  • Kuchambua na kuainisha huduma zinazoweza kutolewa na mifumo ya kieletroniki katika Halmashauri.
  • Kuhakikisha miundombinu kiambo (Local Area Networl) katika Halmashauri inafanya kazi na mtandao wa intaneti unapatikana.
  • Kuandaa mpango, najeti, mpango kazi, mpango mkakati wa kutekeleza kazi za TEHAMA katika Halmashauri.
  • Kutengeneza utaratibu wa kutunza taarifa na data ili ziweze kutumika wakati wa majanga.
  • Kufanya na kusimamia matengenezo ya vifaa vyote vya TEHAMA.
  • Kutafiti na kuchambua matatizo ya vifaa vya TEHAMA na kutoa suluhisho.
  • Kushirikiana kwa karibu na wataalamu wa TEHAMA wa Mkoa na Wizara ili kubadilisha uzoefu na kujengeana uwezo.
  • Kutoa specification za vifaa kwa ajili ya manunuzi.
  • Kushiriki katika zabuni za vifaa vya TEHAMA na kuhakiki ubora wake kabla havijaanza kutumika
  • Kuhakikisha Halmashauri ina tovuti na inpatikana wakati wote.

B. HABARI na MAWASILIANO SERIKALINI

  • Kusimamia Sera, Mikakati na Miongozo inayotolewa na Serikali Kuuu juu ya uendeshaji wa Kazi za Habari na Uhusiano.
  • Kuandaa mpango, bajeti, mpango kazi, mpango mkakati wa kutekeleza kazi za uhusiano katika Halmashauri.
  • Kutangaza kazi na miradi inayofanyika katika Halmashauri kupitia tovuti na vyambo vingine vya habari.
  • Kushirikiana na vyombo mbalimbali vya habari katika kuhabarisha umma juu kazi za maendeleo zinazofanywa na serikali katika jamii.
  • Kutangaza maeneoe ya uwekezaji ya Halmashauri katika tovuti, radio, majarida na njia nyinginezo za mawasiliano.
  • Kuhakikisha tovuti ya Halmashauri ina taarifa mpya kila wakati pamoja na wasifu wa Wilaya (District Profile)
  • Kuandaa na kutoa habari za halmashauri katika machapisho.
  • Kutumia TEHAMA katika kutoa elimu kwa jamii.
  • Kusimamia Press briefing za Halmashauri.
  • Kuishauri Halmashauri juu ya uandaaji, uzalishaji na usambazaji wa nyaraka kwa wadau mbali mbali.

 

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE MAFUNZO May 07, 2025
  • KUITWA KWENYE USAILI May 02, 2025
  • Mikopo ya Hazina Kwa Watumishi wa Umma October 27, 2024
  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU MIKOPO INAYOTOLEWA KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU (Limetolewa kwa kuzingatia kanuni ya 8(1) February 20, 2025
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • MHE.KHADIJA SHABANI TAYA (KEISHA) ACHANGIA HUDUMA ZA AFYA KWA KUTOA MASHUKA 20 HOSPITALI YA WILAYA YA BAHI.

    May 12, 2025
  • MAFUNZO YA WAANDISHI WASAIDIZI NA WAENDESHA VIFAA VYA KIELETRONIKI YAFANYIKA JIMBO LA BAHI

    May 14, 2025
  • DC JOACHIM NYINGO AKABIDHI VIFAA VYA SHULE VYA MILIONI 5.3

    May 06, 2025
  • MWENGE WAZINDUA MIRADI YENYE THAMANI YA BILIONI MOJA MILIONI MIA TANO KUMI NA SABA LAKI NANE ELFU MIASITA THEMANINI NA NANE NUKTA SITA.(TSH.1,517,414,684.63) KATIKA WILAYA YA BAHI.

    April 25, 2025
  • Tazama Zote

Video

Jinsi ya kuomba uhamisho kwenye mfumo wa Utumishi
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Tazama na Kudownload Orodha ya Walioitwa Kwenye Interview kwa Nafasi za Watendaji wa Vijiji Bahi
  • Matokeo Kidato cha Nne 2017
  • Tazama matokeo ya Darasa la saba 2019 ya shule zote za Bahi
  • Tazama na Kudownload vigezo vya Nafasi za Kazi kwa Watendaji wa Vijiji
  • Matokeo ya QT
  • 1: Matokeo ya Upimaji wa Kitaifa Darasa la Nne (SFNA) 2017
  • 2: Matokeo ya Upimaji wa Kitaifa Darasa la Nne (SFNA) 2017
  • Vendor Form
  • 2: Matokeo ya Upimaji wa Kitaifa Kidato cha Pili (FTNA) 2017

Viunganishi Linganifu

  • NECTA
  • Mfumo wa uhamisho kwa watumishi,Mikopo na Kupata Salary Slips
  • Utumishi
  • OR-TAMISEMI
  • Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
  • Tovuti ya Mkoa wa Dodoma

Watembeleaji wa Nje

world map hits counter

Watembeleaji

Counter Widgets

Ramani

Wasiliana Nasi

    Kitengo cha Ugavi na Manunuzi

    Anuani: S.L.P 2993 DODOMA

    Simu: +255 762077589

    Simu: +255 762077589

    Barua Pepe: ded@bahidc.go.tz

Mawasiliano Zaidi

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Bahi. Haki Zote Zimehifadhiwa