Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.Dkt.Samia Suluhu Hassan amefanya uhamisho na mabadiliko ya uteuzi mbalimbali. kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. Moses Kusiluka viongozi waliohamisha ni pamoja na Mkurugenzi Mtenda wa Halmashauri ya Wilaya ya Bahi Bi. Zaina Mfaume Mlawa ambae amehamishiwa katika Halmashauri ya Manispaa ya Iringa na nafasi yake imechukuliwa na Bi.Albina Willium Mtumbuka aliyeteuliwa kuwa Mkurugenza Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Bahi. Viongozi hao wapya wamesha kabidhiana ofisini kama taratibu zinavyotaka na tayari wamesharipoti katika vituo vyao vipya vya kazi kwa ajili ya kuanza kutimiza majukumu yao.
Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
Anuani: S.L.P 2993 DODOMA
Simu: +255 762077589
Simu: +255 762077589
Barua Pepe: ded@bahidc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Bahi. Haki Zote Zimehifadhiwa