Leo tarehe 22/09/2025 menejimenti ya Halmashauri Wilaya ya Bahi ikishirkiana na Ofisi ya Mkuu wa Wilaya wameanza Ukaguzi wa Miradi mbalimbali ya maendeleo inatotekelezwa katika wilaya hiyo kwa fedha za serikali kuu,wahisani pamoja na mapato ndani kwa mwaka wa fedha 2025/2026.
NA. |
JINA LA MRADI |
BAJETI ILIYOIDHINISHWA |
KIASI CHA FEDHA KILICHOTOLEWA |
CHANZO CHA FEDHA
|
SEKTA |
1.
|
Ujenzi wa shule ya sekondari Jumuishi kwa wanafunzi wenye mahitaji maalum
|
3,690,000,000 |
3,690,000,000 |
Wahisani
(NMB) |
Elimu Sekondari
|
2
|
Ujenzi wa Jengo la Utawala(Halmashauri)
|
1,000,000,000 |
1,000,000,000 |
Serikali Kuu
|
Utawala
|
3
|
Uwekaji wa shade kwenye soko Bahi mjini
|
37,755,191.00 |
37,755,191.00 |
Mapato ya Ndani
|
Viwanda,Biashara Na Uwekezaji
|
4
|
Ukamilishaji wa Zahanati ya Nagulo Bahi
|
40,000,000 |
40,000,000 |
Serikali Kuu
|
Afya
|
5.
|
Ukamilishaji wa madarasa 2 shule ya sekondari Bahi B
|
25,000,000 |
25,000,000 |
Serikali Kuu
|
Elimu Sekondari
|
6.
|
Ukamilishaji wa maabara 1 ya masomo ya sayansi shule ya sekondari Bahi
|
30,000,000 |
30,000,000 |
Serikali Kuu
|
Elimu Sekondari
|
7.
|
Ujenzi wa Shule Mpya ya Elimu ya Awali na Msingi ya Mkondo Mmoja ktk Eneo La Shule ya Sekondari Mpamantwa
|
302,200,000 |
302,200,000 |
Wahisani
(BOOST) |
Elimu Sekondari
|
8.
|
Ukamilishaji wa maabara 2 za masomo ya sayansi shule ya sekondari Ibihwa
|
60,000,000 |
60,000,000 |
Serikali Kuu
|
Elimu Sekondari
|
9
|
Ujenzi wa madarasa 6, mabweni 2, matundu ya vyoo 10 shule ya sekondari Kigwe
|
405,000,000 |
405,000,000 |
Wahisani(Barrick)
|
Elimu sekondari
|
10.
|
Ukamilishaji wa Bweni shule ya sekondari Kigwe
|
34,000,000 |
34,000,000 |
Mapato ya Ndani
|
Elimu Sekondari
|
11.
|
Ukamilishaji wa Zahanati ya Mapinduzi
|
60,000,000 |
60,000,000 |
Serikali Kuu
|
Afya
|
NA. |
JINA LA MRADI |
BAJETI ILIYOIDHINISHWA |
KIASI CHA FEDHA KILICHOTOLEWA |
CHANZO CHA FEDHA |
SEKTA |
1.
|
Ujenzi wa Madarasa 6 Matundu 12 ya Vyoo E/Msingi na Ujenzi wa Madara 2 na Matundu 6 ya Vyoo E/Awali S/Msingi Bahi Makulu
|
223,000,000 |
223,000,000 |
Wahisani
(BOOST |
Elimu Msingi
|
2
|
Ukamilishaji wa ujenzi wa Josho Chimendeli
|
3,965,000 |
3,965,000 |
Mapato ya ndani
|
Mifugo
|
3.
|
Ujenzi wa Madarasa 2, Matundu 6 ya Vyoo E/Msingi S/Msingi Nghulugano
|
57,200,000 |
57,200,000 |
Wahisani
(BOOST) |
Elimu Msingi
|
4.
|
Ukamilishaji wa Zahanati ya Nholi
|
60,000,000 |
60,000,000 |
Serikali Kuu
|
Afya
|
5.
|
Ujenzi wa Madarasa 2 na Matundu 6 ya Vyoo E/Awali S/Msingi Nholi
|
64,600,000 |
64,600,000 |
Wahisani
(BOOST) |
Elimu Msingi
|
6.
|
Ukamilishaji wa madarasa 2 shule ya msingi Mahoma-Senga
|
25,000,000 |
25,000,000 |
Serikali Kuu
|
Elimu Msingi
|
7.
|
Ujenzi wa miundombinu ya usafi wa mazingira katika shule ya msingi Nkhome
|
46,849,072.92 |
46,849,072.92 |
Wahisani
(WRSS) |
Elimu Msingi
|
8.
|
Ujenzi wa Madarasa 3 Matundu 6 ya Vyoo S/Msingi Mapanga
|
80,200,000 |
80,200,000 |
Wahisani
(BOOSt) |
Elimu Msingi
|
9.
|
Ukamilishaji wa maabara 2 za masomo ya sayansi shule ya sekondari Mtitaa
|
60,000,000 |
60,000,000 |
Serikali Kuu
|
Elimu Sekondari
|
10
|
Ujenzi wa miundombinu ya usafi wa mazingira katika kituo cha Afya Mtitaa
|
73,898,168 |
73,898,168 |
Wahisani
(SRWSS) |
Afya
|
11
|
Nyumba ya Afisa Ugani Mtitaa
|
40,000,000 |
40,000,000 |
Serikali Kuu
|
|
12
|
Ujenzi wa nyumba ya mwalimu shule ya Msingi Chibelela
|
50,000,000 |
50,000,000 |
Wahisani
(GPE-TSP) |
Elimu Msingi
|
1. |
Ukamilishaji wa ujenzi wa Zahanati ya Tinai
|
60,000,000 |
60,000,000 |
Serikali Kuu
|
Afya
|
2. |
Ujenzi wa miundombinu ya usafi wa mazingira katika shule ya msingi Tinai
|
45,149,072.92 |
45,149,072.92 |
Wahisani
(SRWSS)) |
Elimu Msingi
|
3. |
Ujenzi wa Madarasa 3 Matundu 6 ya Vyoo S/Msingi Makanda
|
143,800,000 |
143,800,000 |
Wahisani
(BOOST) |
Elimu Msingi
|
4. |
Ukamilishaji wa maabara 1 ya masomo ya sayansi shule ya sekondari Babayu
|
30,000,000 |
30,000,000 |
Serikali Kuu
|
Elimu Sekondari
|
5. |
Ujenzi wa Majengo mapya ya Shule Mpya ya Mkondo Mmoja Katika Shule ya Msingi Mayamaya (Chakavu)
|
302,200,000 |
302,200,000 |
Wahisani
(BOOST) |
Elimu Msingi
|
6. |
Ujenzi wa Madarasa 2 Matundu 12 ya Vyoo E/Msingi, Madarasa 2 na Matundu 6 ya Vyoo E/Awali, Umaliziaji wa Maboma 2 ya Madarasa Ktk Kituo Shikizi Cha Muungano na Ukarabati wa Shule ya Msingi Mkondai
|
257,000,000 |
257,000,000 |
Wahisani
(BOOST) |
Elimu Msingi
|
NA. |
JINA LA MRADI
|
BAJETI ILIYOIDHINISHWA |
KIASI CHA FEDHA KILICHOTOLEWA |
CHANZO CHA FEDHA |
SEKTA |
|
Ukamilishaji wa Zahanati ya Chikopelo
|
58,000,000 |
58,000,000 |
Serikali Kuu
|
Afya
|
|
Ujenzi wa Madarasa 2 na Matundu 6 ya Vyoo E/Awali S/Msingi Chali Makulu
|
64,600,000 |
64,600,000 |
Wahisani
(BOOST) |
Elimu Msingi
|
|
Ukarabati wa josho katika kijiji cha zejele
|
2,000,000 |
2,000,000 |
Mapato ya Ndani
|
Mifugo
|
|
Ukarabati wa josho katika kijiji cha Nondwa
|
2,000,000 |
2,000,000 |
Mapato ya Ndani
|
Mifugo
|
|
Ujenzi wa Madarasa 3 Matundu 6 ya Vyoo S/Msingi Nondwa
|
80,200,000 |
80,200,000 |
Wahisani
(BOOST) |
Elimu Msingi
|
|
Ukamilishaji wa Zahanati ya Ikumbulu
|
60,000,000 |
60,000,000 |
Serikali Kuu
|
Afya
|
7. |
Ukarabati wa josho,Machinjio na vyoo Mnada wa Bahi
|
5,000,000 |
5,000,000 |
Mapato ya ndani |
Mifugo
|
8. |
Ujenzi wa Madarasa 2, Matundu 6 ya Vyoo S/Msingi Nyerere(Ibihwa)
|
57,200,000 |
57,200,000 |
Wahisani
(BOOST)) |
Elimu Msingi
|
9. |
Ujenzi wa Madarasa 3 Matundu 6 ya Vyoo S/Msingii Mindola
|
80,200,000 |
80,200,000 |
Wahisani
(BOOST)) |
Elimu Msingi
|
10. |
Ujenzi wa Madarasa 2 na Matundu 6 ya Vyoo E/Awali S/Msingi Chilungulu
|
64,600,000 |
64,600,000 |
Wahisani
(BOOST) |
Elimu Msingi
|
11. |
Ujenzi wa Madarasa 3 Matundu 6 ya Vyoo S/Msingi Chibaya
|
80,200,000 |
80,200,000 |
Wahisani
(BOOST) |
Elimu Msingi
|
12 |
Ukamilishaji wa Ujenzi wa tenki shule ya sekondari Kisima cha Ndege
|
5,000,000 |
5,000,000 |
Mapato Ya Ndani
|
Elimu Sekondari
|
13. |
Ujenzi wa miundombinu ya usafi wa Mazingira katika zahanati ya Lukali
|
47,180,000 |
47,180,000 |
Wahisani
(SRWSS)) |
Afya
|
Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
Anuani: S.L.P 2993 DODOMA
Simu: +255 762077589
Simu: +255 762077589
Barua Pepe: ded@bahidc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Bahi. Haki Zote Zimehifadhiwa