TANGAZO LA AJIRA ZA MUDA TUME HURU YA TAIFA YA UCHAGUZI.
02 July 2025
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi imetangaza nafasi za kazi za muda kwa watendaji wa vituo vya kupigia kura kwa ajili ya uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025.
pata habari kamili katika kupitia picha za tangazo kama lilivyotolewa na Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi.kwa taarifa zaidi tembelea sw1751120223-TANGAZO 2-1 (1).pdf