Katibu Tawala Wilaya ya Bahi (Mwanamvua B. Muyongo) aongoza Kamati ya Mikopo ngazi ya Wilaya Katika kutembelea na Kukagua Vikundi mbalimbali vya Vijana, Wanawake na Walemavu Wilayani Bahi.
Ziara hii iliyofanywa na Kamati ya Mikopo ngazi ya Wilaya kuanzia tarehe 29 Semptemba 2025 hadi tarehe 02 Octoba 2025 ina lengo la kujiridhisha na kuvifanyia tathimini vikundi hivyo ikiwa ni pamoja na kutembelea ofisi za Biashara zao na kufanya mazungumzo na wanakikundi.
Hizi ni jitihada za kina kuhakikisha Serikali inawezesha Vijana, Wanawake na Walemavu kupitia Mikopo ya asilimia kumi (10%) inayotolewa na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Halmashauri ya Wilaya ya Bahi waweze kujiajiri na kujikwamua kiuchumi
Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
Anuani: S.L.P 2993 DODOMA
Simu: +255 762077589
Simu: +255 762077589
Barua Pepe: ded@bahidc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Bahi. Haki Zote Zimehifadhiwa