Mafunzo ya Wasimamizi wasaidizi wa uchaguzi ngazi ya Kata (AROs) JIMBO LA BAHI yakitolewa leo tarehe 4 hadi 6/8/2025 mafunzo haya yanatolewa na Msimamizi wa uchaguzi jimbo la Bahi ndugu William D. Mpangala na Wasimamizi wasaidizi wa uchaguzi ngazi ya jimbo.
Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
Anuani: S.L.P 2993 DODOMA
Simu: +255 762077589
Simu: +255 762077589
Barua Pepe: ded@bahidc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Bahi. Haki Zote Zimehifadhiwa