MHE. JOACHIM THOBIAS NYINGO MKUU WA WILAYA YA BAHI AFANYA MKUTANO WA HADHARA NA KUSIKILIZA KERO ZA WANANCHI KATIKA KATA YA ZANKA WILYANI BAHI.
Mhe Mkuu wa wilaya ya Bahi ndugu Joachim Thobias Nyingo akiambatana na Katibu Tawala pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Bahi katika Mkutano wa hadhara Zanka kusikiliza na kutatua kero za Wananchi.
Kupitia Serikali sikivu ya awamu ya sita chini ya Daktari Samia Suluhu Hassan Mhe Mkuu wa Wilaya amechukua malalamiko ya Wananchi wa Zanka kwa upembuzi yakinifu kwaajili ya utekelezaji na utatuzi.
Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
Anuani: S.L.P 2993 DODOMA
Simu: +255 762077589
Simu: +255 762077589
Barua Pepe: ded@bahidc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Bahi. Haki Zote Zimehifadhiwa