Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Mhe. Jordan Rugimbana akiwahutubia wananchi kwenye uzinduzi
wa Hospitali Tembezi iliyowahusisha Madaktari Bingwa wa Magonjwa mbalimbali katika
Kituo cha Afya Mundemu tarehe 16 Novemba, 2017. Mhe. Rugimbana aliupongeza uongozi wa
Wilaya ya Bahi kwa kuandaa zoezi hilo muhimu la siku 7 lililolenga kuwasogezea wananchi huduma za
kibingwa wilayani humo.
Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
Anuani: S.L.P 2993 DODOMA
Simu: +255 762077589
Simu: +255 762077589
Barua Pepe: ded@bahidc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Bahi. Haki Zote Zimehifadhiwa