Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Mhe. Dkt. Binilith Mahenge (hayupo pichani) amewataka Watumishi wa Serikali katika Wilaya ya Bahi kuwa wabunifu ili kupitia utendaji wao wananchi wa Wilaya hiyo waweze kunufaika na kujiletea maendeleo kiuchumi. Mhe. Mhenge ameyasema hayo wakati akiongea na Watumishi wa taasisi zote za Serikali wilayani humo tarehe 23 Novemba, 2017 akiwa katika ziara ya kujitambulisha ya siku moja.
Halmashauri ya Wilaya ya Bahi
Anuani: S.L.P 2993 DODOMA
Simu: +255 687748878
Simu: +255 687748878
Barua Pepe: ded@bahidc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Bahi. Haki Zote Zimehifadhiwa