Orodha na Matokeo ya waliio omba kazi nafasi za TRA imetolewa jana 18/9/2017 Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi waliofanya usaili wa mchujo kwa nafasi mbalimbali za Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kuwa matokeo ya usaili huo yamekwishatolewa kwenye tovuti ya Sekretarieti hiyo www.ajira.go.tz soma zaidi...pata orodha kamili Customs Office,Revenue Officer,Tax Officer,Human Resource Officer,Business Analyist,System Administrator,Legal Coucelor,Accountant II
Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
Anuani: S.L.P 2993 DODOMA
Simu: +255 762077589
Simu: +255 762077589
Barua Pepe: ded@bahidc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Bahi. Haki Zote Zimehifadhiwa