Tuesday 28th, November 2023
@HALMASHAURI YA WILAYA YA KONGWA
Timu ya Mapato ya Halmashauri ya Wilaya ya Bahi ikiongozwa na Mwenyekiti wa Halmashauri hiyo Mh. Donald Mejeti na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Bahi Bi. Zaina Mlawa waenda katika Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa ili kupata uzoefu na kujifunza mbinu mbalimbali za ukusanyaji wa mapato katika Hospital ya Wilaya ya Kongwa, Vituo vya Afya na Zahanatilengo likiwa nikuzuia upotevu wa mapato katika vituo vya Afya ,Hospital ya Wilaya na Zahanati.
Aidha,Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Kongwa Dkt. Omary Nkulo alifanya uwasilishaji wa mada juu ya uzoefu na tafiti mbalimbali walizozifanya mpaka kupata matokeo bora ya ukusanyaji na kulinda mapato.
Halmashauri ya Wilaya ya Bahi
Anuani: S.L.P 2993 DODOMA
Simu: +255 755 352 875
Simu: +255 689 571 881
Barua Pepe: ded@bahidc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Bahi. Haki Zote Zimehifadhiwa