Katibu tawala mteule wa Mkoa wa Dodoma Bw.Kaspar K. Mmuya amefanya ziara katika Halmashauri ya Wilaya ya Bahi na kuzungumza na watumishi mbalimbali,katika ziara hiyo ambayo ulifunguliwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Bahi Bi. Zaina Mlawa pamoja na katikibu Twala wa Wilaya Bi.Sara Ngalingasi katika ukumbi wa Halmashauri ya Bahi Bw. Bw.Kaspar K. Mmuya alilenga kujitambulisha lakini pia ikiwa na mmoja ya ziara ya kuzifahamu Wilaya za Mkoa wa Dodoma.
Halmashauri ya Wilaya ya Bahi
Anuani: S.L.P 2993 DODOMA
Simu: +255 687748878
Simu: +255 687748878
Barua Pepe: ded@bahidc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Bahi. Haki Zote Zimehifadhiwa