Katibu tawala wa Wilaya Bi. Sara Ngalingasi pamoja Mkurugenzi Mtendaji wa Halmshauri ya Wilaya ya Bahi Bi. Zaina MLAWA Leo tarehe 13/01/2023 wamefanya kikao na Maafisa usafirishaji (bodaboda) na kuwekeana mikakati ya usalama wa Maafisa usafirishaji wanaotumia Pikipiki (Bodaboda) katika wilaya hiyo.
Kikao kimehudhuriwa na Afisa upelelezi Wilaya, Afisa usalama Barabarani Wilaya , Mh. Diwani kata ya Bahi, Afisa Tarafa wa Bahi, Mtendaji Kata na Kijiji Bahi sokoni, mwenyekiti wa Kijiji Cha Bahi sokoni
Halmashauri ya Wilaya ya Bahi
Anuani: S.L.P 2993 DODOMA
Simu: +255 687748878
Simu: +255 687748878
Barua Pepe: ded@bahidc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Bahi. Haki Zote Zimehifadhiwa