Watumishi wote Mnataarifiwa kushiriki Mazoezi yatakayo fanyika kila Jumamosi ya Pili ya Mwezi
shiriki Mazoezi kwa ajili ya uimarishaji wa Afya yako na kuboresha Mahusiano mazuri kazini.
KARIBUNI TUSHIRIKI KWA PAMOJA.
Afisa Habari Wilaya
Benton Nollo.
Halmashauri ya Wilaya ya Bahi
Anuani: S.L.P 2993 DODOMA
Simu: +255 687748878
Simu: +255 687748878
Barua Pepe: ded@bahidc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Bahi. Haki Zote Zimehifadhiwa