Halmashauri ya Wilaya ya Bahi Inawatangazia Watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Bahi na Wananchi wote kwa ujumla kushiriki Mapokezi na ukimbizwaji wa Mwenge wa Uhuru katika Wilaya ya Bahi tarehe 26/06/2016, Mwenge wa Uhuru unatarajiwa kupokelewa Katika Tarafa ya Mundemu tarehe 26/06/2016. Aidha Mwenge utazindua Miradi Mbalimbali ya Maendeleo katika Wilaya ya Bahi na kulala Chikopelo.Hivyo Wananchi na Watumishi wote mnaombwa kushiriki ili kufanikisha kwa pamoja uzinduzi wa Miradi Maendeleo ya Wilaya yetu.
Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
Anuani: S.L.P 2993 DODOMA
Simu: +255 762077589
Simu: +255 762077589
Barua Pepe: ded@bahidc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Bahi. Haki Zote Zimehifadhiwa