Kwa niaba ya Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Bahi Bibi.RACHEL CHUWA idara ya Teknolojia Mawasiliano na Mahusiano inawatangazia wakuu wa Idara wote wa Halmashauri ya Wilaya ya Bahi kuwasilisha Taarifa ambazo zinastahili kuwafikia Wananchi katika Kitengo cha Habari kwaajili ya kuzipandisha kwenye Tovuti ya Wilaya. Aidha wanakumbushwa kutembelea mara kwa mara Tovuti ya Halmashauri kwani kurasa za mwanzo za Mifumo yote miwili ya PLANREP na FFARS zitaunganishwa moja kwa moja na Tovuti. Pia Idara inasistiza tena Matumizi ya Barua Pepe za Serikali katika kutuma Taarifa mbalimbali za Kiserikali.
Halmashauri ya Wilaya ya Bahi
Anuani: S.L.P 2993 DODOMA
Simu: +255 687748878
Simu: +255 687748878
Barua Pepe: ded@bahidc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Bahi. Haki Zote Zimehifadhiwa