MKURUGENZI MTENDAJI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA BAHI KUPITIA KITENGO CHA TEHAMA (TECHNOLOJIA HABARI NA MAWASILIANO NA MAHUSIANO) ANAWATANGAZIA WATUMISHI WOTE WA HALMASHAURI YA WILAYA YA BAHI KUACHA MARA MOJA KUTUMIA BARUA PEPE ZA BINAFSI ZENYE VIKOA VYA G.MAIL, YAHOO, HOTMAIL, ROCKETMAIL N.K KATIKA KUTUMA NA KUPOKEA TAARIFA MBALIMBALI ZA SERIKALI NA BADALA YAKE KUTUMIA BARUA PEPE ZENYE KIKOA CHA .GO.TZ KWA MAWASILIANO YOTE YANAYO IHUSU SERIKALI.
HII NI KATIKA KUEPUSHA TAARIFA ZA SERIKALI KUWAFIKIA WATU WASIO HUSIKA JAMBO AMBALO NI HATARI, ANUANI ZENYE KIKOA CHA .GO.TZ ZA IDARA ZOTE NA ZA BINAFSI KWA BAADHI YA WAKUU IDARA ZITATOLEWA HIVI KARIBUNI KWENYE TOVUTI YA WILAYA YA BAHI (www.bahidc.go.tz).
AIDHA, WATUMISHI WOTE MTATANGAZIWA SIKU YA SEMINA KUONGEZA MAARIFA JUU KUTUMIA TUVUTI YA WILAYA YETU YA BAHI.
ASANTENI.
Imetolewa na Idara ya TEHAMA-MAHUSIANO. Tarehe 21/06/2017.
Raymond Mhegele.
Mawasilano: raymond.mhegele@bahidc.go.tz
: auson.augustine@bahidc.go.tz
Mobile: 0714-374343 Raymond G. Mhegele
: 0621199592 Auson M. Augustine.
: 0756427307 Benton Nollo
Halmashauri ya Wilaya ya Bahi
Anuani: S.L.P 2993 DODOMA
Simu: +255 687748878
Simu: +255 687748878
Barua Pepe: ded@bahidc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Bahi. Haki Zote Zimehifadhiwa