Afisa Uchaguzi Jimbo la Bahi "William D. Mpangala" Leo tarehe 25 Oktoba 2025 Jimbo la Bahi amefungua Semina ya mafunzo kwa Makarani wote wa Vituo vya Uchaguzi Jimbo la Bahi.
Aidha kupitia mafunzo hayo Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Bahi "William D. Mpangala" amesisitiza yafuatayo;
Uwajibikaji kwa makarani wote,kufuata kanuni na taratibu zote za Uchaguzi kama inavyoelekezwa kwenye vitabu vya muongozo, kutekeleza majukumu yote elekezi ya Karani,amewasisitiza Makarani kuwahi katika Vituo husika watakavyo pangiwa na mwisho Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Bahi amehimiza uzingatiaji wa maadili kipindi chote cha kazi.
Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
Anuani: S.L.P 2993 DODOMA
Simu: +255 762077589
Simu: +255 762077589
Barua Pepe: ded@bahidc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Bahi. Haki Zote Zimehifadhiwa