Thursday 30th, January 2025
@KATA YA ZANKA
Kama ilivyo kawaida katika Wilaya ya Bahi kumekuwa na utaratibu wa wananchi kuhimizwa kushiriki katika zoezi la kufanya usafi kila wiki ya mwisho wa mwezi ili kuikinga jamii na magonjwa mbalimbali hasa kuelekea kipindi cha mvua ambazo zimeanza kunyesha katika maeneo mbalimbali hapa nchini. Utaratibu huo umeendelea kutekelezwa kwa vitendo ukiongozwa na Mkuu wa wilaya hiyo Mhe Godwini Gondwe akishirikiana kwa karibu na Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Bahi Bi. Zaina Mlawa ambao kwa pamoja wameshirikiana na wananchi wa wilaya hiyo kata Zanka katika kutekeleza zoezi la kufanya usafi wa mazingira.
Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
Anuani: S.L.P 2993 DODOMA
Simu: +255 762077589
Simu: +255 762077589
Barua Pepe: ded@bahidc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Bahi. Haki Zote Zimehifadhiwa