Ili kupata leseni ya biashara inayotolewa na Halmshauri ya Wilaya ya Bahi unatakiwa kufuata hatua zifuatazo:-
Mfanyabiashara asiye na Namba ya Utambulisho wa Mlipa Kodi (TIN)
Mfanyabiashara mwenye Namba ya Utambulisho wa Mlipa Kodi (TIN)
KUMBUKA KUWA:
Malipo ya Kodi ya Mapato yanayofanyika kupitia TRA ni kuanzia Januari 01 hadi Desemba 31 kila mwaka.
Wakati malipo Leseni ya Biashara ni kuanzia Julai 01 hadi Juni 30 kila mwaka.
Halmashauri ya Wilaya ya Bahi
Anuani: S.L.P 2993 DODOMA
Simu: +255 687748878
Simu: +255 687748878
Barua Pepe: ded@bahidc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Bahi. Haki Zote Zimehifadhiwa