Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Bahi Bi. Zaina Mlawa amepokea zana mbalimbali za kilimo kutoka (Action for Hunger), zana hizi zimelenga katika kuboresha kilimo cha bustani katika shule za Msingi na Sekondari, hii yote ikiwa ni juhudu ya kuzifanya shule ziweze kujitegemea chakula kwa wanafunzi katika shule hizo.
Halmashauri ya Wilaya ya Bahi
Anuani: S.L.P 2993 DODOMA
Simu: +255 687748878
Simu: +255 687748878
Barua Pepe: ded@bahidc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Bahi. Haki Zote Zimehifadhiwa