Zoezi hilo la upandaji Miti limefanyika tarehe 11/01/2025 katika Kata ya Zanka Kijiji cha Mayamaya katika viunga vya shule ya Msingi Mayamaya na Mahali ambapo inajengwa shule Mpya ya Sekondari katika Kijiji cha Mayamaya.
Zoezi hilo la Upandaji Miti limeshuhudiwa na viongozi mbalimbali,watumishi na wanachi ambapo takribani miti 125 ya kivuli na matunda imepandwa.
Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
Anuani: S.L.P 2993 DODOMA
Simu: +255 762077589
Simu: +255 762077589
Barua Pepe: ded@bahidc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Bahi. Haki Zote Zimehifadhiwa