KAMATI YA FEDHA YA HALMASHAURI YA WILAYA YA BAHI YAFANYA UKAGUZI WA MIRADI YA MAENDELEO.
Ukaguzi wa Miradi ya Maendeleo uliofanywa na kamati ya fedha katika,miradi iliyo kaguliwa ni pamoja na shule ya awali mchepuo wa kingereza,Zahanati ya Nagulo Bahi, Zahanati ya Mapinduzi na ujenzi wa Mabweni mawili ambapo bweni moja limejengwa kwa mapato ya ndani ya Halmashauri na lingine likiwa chini ya Mradi wa Sequip kigwe, Ujenzi wa shule ya Secondary Kisima cha Ndege, pamoja na ujenzi wa darajala Mgondo.
Aidha, Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Bahi Mhe.Donald Mejitii pamoja akiambatana na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri hiyo Bi.Zaina M. Mlawa wamesisitiza utunzwaji wa Miradi hiyo ambayo itasaidia kwa kiwango kikubwa Upatikanaji wa Huduma za Jamii.
Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
Anuani: S.L.P 2993 DODOMA
Simu: +255 762077589
Simu: +255 762077589
Barua Pepe: ded@bahidc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Bahi. Haki Zote Zimehifadhiwa