Leo tarehe 26 Oktoba 2025 Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Bahi "William D. Mpangala " amefungua rasmi Mafunzo kwa Wasimamizi na wasimamizi wasaidizi Tarafa ya Bahi.
Pamoja na Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Bahi pia mafunzo hayo yamehudhuriwa na Afisa Uchaguzi Jimbo la Bahi,Watoa mada mbalimbali pamoja na wasimamizi na wasimamizi wasaidizi waliocha
Kupitia mafunzo hayo Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Bahi "William D. Mpangala" amesisitiza Wasimamizi na wasimamizi wasaidizi kuzingatia kanuni,sheria na taratibu zote ikiwemo kutofungamana na upande wa Chama chochote,lakini pia maadili katika kuitenda kazi kwani ndiyo msingi wa kufanikisha Uchaguzi Mkuu.
Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
Anuani: S.L.P 2993 DODOMA
Simu: +255 762077589
Simu: +255 762077589
Barua Pepe: ded@bahidc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Bahi. Haki Zote Zimehifadhiwa